Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 8, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kondoa Kaskazini, Zabein Mhita kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 8,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini, Mhe. Alphonso Lenhardt, Ofisini kwake,bungeni mjini Dodoma Novemba 8, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment