Tangazo

November 6, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 8 WA KIMATAIFA WA BIMA JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Blue Peal, jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kufungua mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Bima, ulioanza leo Novemba 6, 2012 ukitarajia kumalizika Novemba 8, mwaka huu. Picha na OMR

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Bima, ulioanza leo Novemba 6, 2012 katika ukumbi wa Blue Peal, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unatarajia kumalizika Novemba 8 mwaka huu. Picha na OMR

Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wa Kimataiafa wa Bima, kutoka mataifa mbalimbali wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.

No comments: