Tangazo

March 20, 2013

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA NA GARI



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio Machi 19, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole  mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio Machi 19, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio Machi 19, 2013. PICHA NA IKULU

No comments: