Tangazo

June 6, 2013

African Barrick Gold (ABG) Mgodi wa North Mara waipiga jeki Milioni 10/- Redd's Miss Mara 2013


Ofisa kutoka Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano cha kampuni ya African Barrick Gold (ABG) Mgodi wa North Mara, Fatuma Mssumi akimkabidhi Kaimu Ofisa Tawala wa Mkoa wa Mara mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 10, ikiwa ni sehemu ya udhamini wa kampuni hiyo kwenye mashindano la Redd's Miss Mara yatakayofanyika leo mjini Musoma.

Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Mara 2013 wakiwa katika picha ya pamoja jana ikiwa ni siku moja kabla ya warembo hao hawajapanda jukwaani kuwania taji hilo ambalo linashikiliwa na Miss Tanzania namba mbili 2012. Shindano hilo linataraji kufanyika leo.
 Baadhi ya washiriki wa Redd's Miss Mara 2013 wakiwa wenye furaha.
Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi.

Baadhi ya washiriki wa shindano la Redd's Miss Mara 2013 wakitembea kwa pamoja ikiwa ni siku moja kabla ya warembo hao hawajapanda jukwaani kuwania taji hilo ambalo linashikiliwa na Miss Tanzania namba mbili 2012. Shindano hilo linataraji kufanyika leo.

No comments: