Tangazo

August 29, 2013

Bata la Skylight Band Juma lililopita, palikuwa hapatoshi

IMG_4240
Picha juu na chini Wana-Skylight Band wakishusha burudani ya aina yake kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_4232 IMG_4226
Sam Mapenzi asali ya warembo akifanya yake jukwaani.
IMG_4245
Binti mwenye kipaji cha aina yake Mary Lucos akitumbuiza mashabiki wa Skylight Band.
IMG_4252
Pichani juu na chini Mary Lucos wa Skylight Band akiimba na kuerebuka na shabiki wake.
IMG_4254
IMG_4265
Aneth Kushaba AK 47 akiwaimba kwa hisia mashabiki wa Skylight Band kwenye kiota cha maraha cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_4291
Pedesheee Ben Kinyaiya na pesa zake za mawazo akizichambua kumtunza Mary Lucos.
IMG_4317
Wapenzi wa Skylight Band wakijimwaga kwa raha zao.
IMG_4296
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukiburudika na mduara.
IMG_4297
Benny Kinyaiya akishow love na binti mrembo kipaji kipya cha Skylight Band anayetambulika kwa jina la Digna.
IMG_4304
Wazee wa kukung'uta Bass na Solo..... Chili Chala na Allen Kisso wa Skylight Band wakiwajibika jukwaani.
IMG_4306
Hapo bwana hapo sasa utamu umekolewa twende kazi.
IMG_4313
Sebene limekolea...wewe bwana hapana chezea kabisa Skylight Band.
IMG_4322
Sam Mapenzi na Wana Skylight Band wakishambulia jukwaa wakati Jumaa lililopita kwenye kiota cha Thai Village na kukinukisha Jumapili Escape 2 katika Bonanza Family Day.
IMG_4286
Flowers wa ukweli yalikuwepo Thai Village kuburudika na Skylight Band....Usikose na wewe Ijumaa na Buku 7 yako ya uchakavu getini.
IMG_4290
Mashosti katika pozi matata.
IMG_4325
Mwanafamilia wa Skylight Band Victor Maginga (kushoto) akishow love na wadau.
IMG_4209
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK 47, Kipaji kipya Digna na Mary Lucos Back stage.
IMG_4326
Couples yetu ya nguvu ilitufungia dimba Ijumaa lililopita kwa Ukodak...Tukutane tena Ijumaa hii.

No comments: