Tangazo

August 19, 2013

Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui, kushiriki katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu CCM Taifa,kilichofanyika leo Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi,pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha Mkutano wa Siku Moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM,katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi ya wajumbe wa Kikao chicho. 

Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya CCM Taifa NEC,wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu ya michango mbali mbali itakayotolea kufuatia mada zitakazotolewa katika Kikao hicho.

No comments: