Tangazo

September 4, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI NCHINI NI AGOSTI 5 - 6 JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Bodi ya Wahandisi nchini Mhandisi, Prof. Lyatuu Mrema (katikati) akongea na waadhishi wa habari  leo jijini Da es Salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Nchini yatakayofanyika Agosti 5 na 6, ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Ujenzi Dkt, John Magufuli. Katika siku hiyo karibu Wahandisi 1000 watashiriki yakiwemo Mabanda 50 ya Maonyesho ya Kihandisi. Kulia ni Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini, Mhandisi Steven Mlote.PICHA/MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi nchini Mhandisi  Steven Mlote ( aliesimama mbele mwenye koti jeusi) akitoa ufafanuzi wa jambo kuhusu siku hiyo.

No comments: