Tangazo

September 2, 2013

MAKEKE COLLECTION YAZIDI KUNOGA

Hii ni kampuni mpya mitindo ambayo imeanza kupamba moto toka mwishoni mwa mwaka jana chini ya designer  JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA pamoja na SCHOLASTICA WA MAKEKE AFRIKA na kutwaa umaarufu wa kutosha kutokana na kazi  zake kutokea kuwakuna sana wapenzi wengi wa mitindo nchini Tanzania na hata nje pia, Mitindo hio ya ki – makeke  inazidi kuchanja mbuga kwa spidi ya ajabu kwani ina mahadhi ya mwafrika halisi  na  cha kushangaza zaidi ni kwamba makeke afrika koleksheni imezidi kuboresha muonekano wake na kuwa wa mvuto zaidi  na wamezidi kuboresha huduma kwa wateja wao, hawa jamaa pia ndio waanzilishi wa mitindo ya ki – makeke na show ya Rangi Rangi za Makeke(RRM) Fashion wikend ambayo imefanya vizuri sana na kupokelewa vzuri na mashabikiwa mitindo Tanzania.

No comments: