Tangazo

September 3, 2013

‘Malkia wa Nyuki’ awa Balozi wa Heshima wa Comoro nchini Oman

Balozi wa Heshima wa Comoro nchini Oman, Rahma Al-Kharoosi ‘Malkia wa Nyuki’ akimkabidhi nyaraka Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro, El-Anrif Said Hassane, alipokutana naye ofisi za wizara hiyo mjini Moroni.
Rahma akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro, El-Anrif na Mshauri wa Rahma na mshirika wake kibiashara, James Yuen.
Rahma akiwa na Rais wa Jamhuri ya Comoro, Ikililou Dhoinine, na Meneja Mkuu wa Kampuni ya  RBP ya Oman, Salim Al-Kharoosi (kushoto).
 Rahma na ujumbe wake akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine na ujumbe wake, katika Ikulu ya Rais huyo mjini Moroni.
Balozi wa Heshima Rahma akihojiwa na vyombo vya habari vya nchini Comoro.
Mapokezi ya Rahma na ujumbe wake katika Kisiwa cha Anjouan nchini Comoro.
 Rahma na ujumbe wake akiagana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine  katika Ikulu ya Rais huyo mjini Moroni.

No comments: