Tangazo

September 3, 2013

MATUKIO YA DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward  Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Katikati ni waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward  Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Katikati ni waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama Sarafu ya Ubora (coin of Excellency)  aliyopewa na Balozi wa Marekani  Nchini aliyemaliza muda wake,  Alfonso Lenhardt  (kushoto), Ofisini kwake mjini Dodoma Septemba 3,2013. Balozi huyo alikweda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akionyesha Sarafu ya Ubora (coin of Excellency)  aliyopewa na Balozi wa Marekani  Nchini aliyemaliza muda wake,  Alfonso Lenhardt  (kushoto), Ofisini kwake mjini Dodoma Septemba 3,2013. Balozi huyo alikweda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: