Tangazo

February 19, 2014

Airtel yazindua huduma mpya ya Airtel Money

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Bw. Sunil Colaso akionyesha kwa waandishi habari kipeperushi cha huduma ya Hatoki mtu hapa wakati wa uzinduzi, ambapo wateja watapa vifurushi vya BURE Packs vya kutuma pesa bure kwa wiki au Mwezi. Halfa ya huduma hii ilifanyika katika Makao makuu ya Airtel Leo
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

* Ni ofa ya Bure Packs

Dar es Salaam

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza rasmi huduma ya kisasa ya kifedha kupitia huduma ya Airtel Money.  Huduma hiyo mpya ya kibunifu itatoa uzoefu tofauti wa huduma za fedha kwa wateja wake.

Akiongea wakati wa uzinduzi , Mkurugenzi Mkuu wa Airtel, Bwana  Sunil Colaso alisema "leo tunayofuraha kuzindua huduma  yetu mpya ya Airtel Money ijulikanayo kama  "Hatoki Mtu Hapa", kwa mara ya kwanza nchini Tanzania wateja wa Airtel watafurahia kufanya miamala bure bila kikoma kwa kununua kifurushi cha Bure Pack  cha  wiki au cha mwenzi."

Vifurushi vya Bure Packs vitawapa  wateja wa Airtel Money uhuru wa kuchagua kifurushi kinachokidhi mahitaji yao  na kuwawezesha kufanya miamala bure bila kikomo kwa wiki au kwa mwenzi kulingana na matakwa yao.

Tumezindua huduma hii ili kuwapatia wateja wetu ubora, urahisi na unafuu katika kufanya miamala ya pesa.Kwa wateja ambao hawatajiunga na virufushi vya Bure Pack bado wataweza kufanya miamala ya pesa kwa bei nafuu kuliko zote  ambapo kwa sasa watatozwa asilimia 50% yaani nusu bei ukilinganisha na gharama zinazotozwa na mitandao mingine.

 Tunauhakika wateja wetu watafaidika sio tu kwa ubora, urahisi na ufanisi wa huduma yetu ya Airtel Money bali kwa kupata huduma zenye viwango nafuu zaidi.

  Akiongea kuhusu jinsi ya kupata huduma hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Bi Beatirce Singano Mallya alisema "kujiunga na "Hatoki Mtu Hapa" packs  wateja watalipia 1500 mara moja  tu na kuendelea kufanya miamala bure bila kimomo kwa wiki nzima, vilevile watakaojiunga kwa mwenzi watalipia shilingi 5000 na kuendelea kufaidi huduma bure kwa mwenzi mzima" kwa ubunifu huu mpya huduma ya Airtel money bado itawawezesha wateja kupata huduma nyingine za ziada.

 Sasa wateja  wa Airtel Money wanaweza kununua vifurushi vya Airtel Yatosha kwa namba zao  au kwa namba ya mtu mwingine mahali popote , wakati wowote kupitia huduma ya Airtel money," aliongeza.

 Huduma ya  "Hatoki Mtu Hapa" ni kwa wateja wote wa Airtel nchini , na kwa wateja wapya watakachotakiwa kufanya ni kutembelea Ofisi za Airtel au mawakala wa Airtel Money zaidi ya 35,000 walioko nchi nzima  na kununua simcard mpya kisha kujisajili wakiwa na kitambulisho rasmi na kufurahia huduma.

 Huduma ya Airtel Money imesaidia kuondoa changamoto za huduma za kibenki vijijini na mijini ambapo imewawezesha wateja kutuma na kupokea pesa bure, kulipia Ankara mbalimbali kama ada za shule, Visa ya US, bili ya maji DAWASCO, Umeme LUKU pamoja na DSTV.

 Ili kujiunga na huduma ya Airtel Money, Mteja anatakiwa kupiga *150*60#  na kupata Menu ya Airtel Money.  

Airtel Managing Director Sunil Colaso speak to journalist (not on picture) during the press conference to launch a new Airtel money service dubbed Hatoki mtu hapa, on the new service  Airtel Money customers will enjoy unlimited free transaction on a purchase of a weekly or monthly "Bure Pack". The launch activity took place at Airtel head quarter in dar es salaam yesterday.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Airtel Launches new Airtel Money Service

*   Launches Bure packs

 *  Most affordable Half-priced Tariff


Dar es Salaam Monday, 17 February 2014 Airtel Tanzania has announced an innovative service on Airtel money .The newly launched service   will provide Airtel customers with a new experience in transacting mobile money.

Speaking during the launch, Airtel Managing Director Sunil Colaso said: "Today we are happy to launch our new Airtel Money campaign dubbed "Hatoki Mtu Hapa" .

 For the first time in Tanzania  Airtel Money customers will enjoy unlimited free transaction on a purchase of a weekly or monthly "Bure Pack". We have designed a service that will give our customers the sought affordability and flexibility in money transactions.

The new Bure Packs will provide Airtel Money Customers the freedom to select a preferred pack that suits their needs with unlimited transactions for either 1 week or 1 month, as they see fit.

Customers not enrolled to Bure Packs will continue to enjoy  the best rates in the market by far paying only 50% of what other operators are charging.. We are certain our loyal customers will benefit from not only quality, speed and flexibility of our Airtel Money service but also the best and most affordable rates too.

Speaking about the mechanics Beatrice Singano  Airtel Tanzania's Corporate Affairs  Director said, To subscribe to "Hatoki Mtu Hapa" packs  customers will pay a one-time fixed subscription cost of TZS 1500 for unlimited transactions for a week, whilst those subscribing to the monthly Bure Pack, will enroll for only TZS 5000.

 "With these new innovations Airtel Money will also allow customers to access other existing services.. Now our Airtel Money customers can buy Airtel Yatosha bundles from their Airtel Money accounts or for another person anywhere and at anytime ", he addedThe "Hatoki Mtu Hapa" service is available to all Airtel subscribers.

New users, will need to do visit any of Airtels' over 35,000 nearest agents, buy an Airtel Sim and register with valid identification to enjoy the service Airtel Money Services can be accessed by dialing *150*60# and view the Airtel Money menu to select a preferred service.

This product has provided the most sought after banking services in rural and urban Tanzania that enable customer payments, cash in/ cash out services, send and receive money free and pay utility bills (DAWASCO, ZUKU, and DSTV), School fees payment and payment for US VISA.

No comments: