Tangazo

February 16, 2014

January Makamba ahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.

No comments: