Tangazo

February 13, 2014

Mafunzo ya Ulinzi na Usalama wa Bandari za Tanzania wafanyika jijini Dar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka (kushoto) akimpatia zawadi Balozi wa Israel nchini Kenya Mh. Gil Haskel mara baada ya kufungua rasmi mafunzo ya wiki mbili ya Ulinzi na Usalama wa Bandari za nchini hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA, Bw. Phares Magesa.
Balozi wa Israel nchini Kenya, Mh. Gil Haskel akiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi na maafisa usalama wanaohusika na mambo ya ulinzi na usalama katika Bandari za hapa nchini mara baada ya kufungua rasmi mafunzo yao jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments: