Tangazo

February 19, 2014

Waziri Mkuu Pinda ateta na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Saidi Mohamed Mtanda (katikati) na Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Februari 19,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 19, 2014. Kutoka kushoto ni Dominick Lyamchay, Rashid Mtuta, Consitantine Akitanda na  Fahmi Fovutwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: