Mchezaji wa timu ya Upendo, Felista Ngimbuchi (kulia), akiwatoka
wachezaji wa Shule ya Sekondari ya BaoBab ya Bagamoyo mkoani Pwani, wakati wa
Tamasha la Soka la kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani 2014, lililoandaliwa na
IDYDC na Grassrootsoccer kwa udhamini wa ExxonMobil katika Uwanja wa Kituo cha
Soka la Matumaini cha FIFA, mjini Iringa jana. Tamasha hilo lilihusisha
wachezaji 80 vijana wa kike wenye umri kati ya miaka 15 - 18 kutoka timu nane.
Upendo ilishinda bao 1-0.
|
No comments:
Post a Comment