Tangazo

May 29, 2014

MAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAFANYABIASHARA WA BIMA BARANI AFRIKA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bim Barani Afrika, uliofanyika Mei 28, 2014 kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, akizungumza katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma ya asili ya Pemba wakati akiondoka kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro baada ya kufungua rasmi Mkutano mkuu wa mwaka wa Wafanyabiashara wa Bima Barani Afrika. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. Picha na OMR

No comments: