Tangazo

May 26, 2014

TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dk. Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira. (Na Mpiga Picha Wetu)
 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayoendeshwa chini ya taasisi hiyo, Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa DTP, Suheil Abdulrasul na Mkurugenzi Mtendaji wa DTBI, George Mulamula. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akiteta jambo na Dk. Reginald Mengi wakati wa uzinduzi huo.
 Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
  Baadhi ya vijana watakaonufaida na mafunzo hayo.
Dk. Reginald Mengi akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla (katikati) na  Anver Rajpar.

No comments: