Tangazo

May 25, 2014

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA IBADA YA KUMWEKA WAKFU ASKOFU WA MORAVIAN JIMBO LA RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga  Mei 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha  askofu huyo iliyofanyika  kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Mei 25,2014.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: