Meneja Uendeshaji wa Airtel Money
Asupya Naligingwa (kushoto) na Afisa Masoko wa Precision Air,
Hillary Mremi (kulia) kwa pamoja wakizindua ushirikiano kati ya kampuni
hizo, utakaowawezesha wateja wa Airtel kulipia tiketi za ndege kupitita huduma
ya Airtel Money. Anayeshuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
· Wateja wa
Airtel wawezeshwa kulipia tiketi zao za ndege kwa njia rahisi na haraka zaidi
Dar es Salaam Jumatano , Mai 7, 2014. Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeanzisha
ushirikiano na Precision Airtel utakaowawezesha wateja wake nchi nzima kununua
tiketi za ndege kupitia huduma ya Airtel Money.
Ushirikiano huu utawapatia wateja wa Precision
Air urahisi katika kupanga safari zao na kuwawezesha kununua ticket zao wakati
wowote bila usumbufu kupitia huduma ya Airtel Money.
Akionge wakati wa uzinduzi Afisa Uhusiano
wa Airtel Bi Jane Matinde alisema “ushirikiano huu utawapatia wateja wetu wa Airtel njia
mbadala, rahisi naya uhakika ya kulipia safari zao za ndani na za nje
huku ikiwapatia watanzania na wateja wetu uzoefu tofauti wa kufanya malipo ya
tiketi zao za ndege kupitia simu zao za kiganjani.
Kwa kupitia huduma hii mpya
sasa wateja wetu wataweza kufanya malipo ya tiketi zao za ndege mahali popote
kwa usalama na haraka zaidi kupitia huduma ya Airtel Money. ”
“Tutaendelea kuthibitisha dhamira yetu ya kutoa bidhaa na
huduma za kibunifu huku tukiwahakikishia wateja wetu huduma bora kupitia huduma
ya Airtel Money na nyinginezo wakati wote”. Aliongeza Matinde.
Akiongelea kuhusu ushirikiano huo Afisa Masoko wa
Precision Air Bwana Hillary Mremi alisema “ ushirikiano huu
umekuwa kwa wakati muafaka wakati Precision Air imejipanga
kuboresha huduma zetu na kuwapatia wateja wetu uzoefu tofauti katika
huduma za ndege huku tukihakikisha wateja wanafurahia huduma zetu
zinazoenda zaidi ya matarajio yao.
Wateja wetu sasa wanaweza kufanya malipo ya tiketi zao za
ndege kwa kupitia huduma ya Airtel Money . kupitia simu zao za mkononi
wateja wetu wanaweza kupiga call center au kutembelea tovuti yetu kufanya
booking ya safari zao na kulipia kupitia Airtel Money na kisha kupokea tiketi
yako kupitia simu yako ya mkononi” aliongeza Mremi.
Akiongea kuhusu namna ya kupata huduma hiyo Meneja
uendeshaji wa Airtel Money Asupya Naligingwa alisema” huduma hii ni
rahisi kutumia , mteja anachotakiwa kufanya ni kupiga simu na kufanya booking
ya safari au kufanya booking kupitia tovuti ya Precision Air ambapo mteja
atapewa namba ambayo itatumika kama reference wakati wa malipo.
Kununua tiketi kupitia Airtel Money wateja wanatakiwa
kufanya yafuatayo
Piga *150*60#
|
Chagua namba 5 (Lipia Bili)
|
Chagua namba 8 (NYINGINEZO)
|
Andika jina la biashara
|
PW
|
Ingiza Kiasi cha pesa
|
Kumbukumbu rejea
|
(namba ya booking)
|
Ingiza neno la siri kulipa PW, Tsh xxxxx,
kumbukumbu rejea namba xxxxxx
|
Baada ya kufanya hayo utapokea ujumbe wenye
uthibitisho wa malipo na tiketi yake ya ndege “aliongeza Nalingingwa.
Huduma ya Airtel Money ni huduma inayowawezesha wateja wa
Airtel Nchi nzima kufanya malipo na miamala ya pesa kupitia pesa simu ya
mkononi . kwa kupitia huduma ya Airtel money wateja wanaweza kulipia
ankra kama vile DAWASCO, LUKU, USA visa, DSTV, kulipia mikopo , kununua
muda wa maongezi, kununua vifurushi vya yatosha na kutuma na kupokea pesa
kutoka kwa marafiki na familia na huduma nyingine nyingi.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Precision
Air Partners with Airtel Money for convenient ticket purchase
·Precision Air customers experience convenience in payment
for travel via Airtel Money.
·Airtel Money now has an option in the menu to pay for your
Precision Air ticket.
Dar es Salaam Tuesday, May 13th 2014, Airtel Tanzania has partnered with Precision
Air to enable customers purchase flight tickets countrywide using Airtel Money
service. This partnership will provide to
Precision Air customers flexibility and ease way of planning for their journey.
This is through convenient purchase of their flight ticket using Airtel Money
service from their comfort.
“This partnership will allow our
Airtel customers experience value in paying for their local, regional and
international flights for Precision Air. Airtel Money will enable Tanzanians to
pay for their tickets fast without waiting for long queues. This service is
fast, secure and convenient.” said Jane Matinde ,Airtel Public Relation
Officer.
Ms. Matinde added, “We will continue to demonstrate our
commitment to offer innovative products and services while ensuring our
customer best service through Airtel Money service at all times”.
“The partnership has come at a time when Precision Air is in
the quest to improve the overall customer experience. Our customers can now
dial the Call Centre or visit our website, do the booking and choose the option
of payment through Airtel Money. After payment is received the customer will
get an electronic ticket on their mobile phone,” said Mr. Hillary
Mremi Precision Air Brand and Marketing Coordinator.
Speaking on mechanics Airtel Money operation Manager Asupya
Naligingwa said, “The service is set to create ease for use by all customers.
All one needs to do is make a call to make a booking or make the booking
online. Once you have a booking number that will be used as a reference on
payment process to ensure individual ticket/s issued.”
To buy a flight ticket through
Airtel Money, customers go through the following steps:
Dial *150*60#
Select Option
5 (Make Payments)
Select Option 8 (OTHERS)
Enter Business Name
PW
Enter Amount
Enter the reference
number
(booking number)
Enter PIN to confirm
paying PW, Tsh xxxx with reference number xxxx
You will receive message
notification that your payment is successful and your ticket number “added Nalingingwa.
Airtel Money is a mobile money platform which allows
customers to make payments and other non-cash transactions using money loaded
in the mobile phones. Through Airtel Money service customer can pay utility
bills, goods/ services i.e. DAWASCO, LUKU, USA visa, DSTV, make direct payment
for savings, loan payment, buy airtime, buy Yatosha bundle and send and
receive money to family and friends.
No comments:
Post a Comment