Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya
pamoja na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM kutoka
kata zote 25 za jimbo la Ludewa na viongozi wa wilaya
wa chama hicho ambao Juni 16, 2014 wanahitimisha ziara ya siku
nne ya mafunzo mjini Dodoma
na Dar es Salaam. Wajumbe hao pamoja na Mbunge wa jimbo la Ludewa, Mhe. Deo
Filikunjombe walifika Ikulu kumtembelea Rais. (Picha na Ikulu)
|
No comments:
Post a Comment