Tangazo

June 28, 2014

Rais wa Zanzibar Dk Shein atoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla, pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments: