Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa
Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa
Mlimani City jijiniDar es salaam Juni 3, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment