Wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24,
2014.
|
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Margaret Sitta wakiteta kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Msanii wa Bongo Movie, Mzee Chilo. |
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Paul Makonda wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na John Momose Cheyo wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment