Tangazo

September 28, 2014

PSPF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MKOANI MOROGORO KATIKA UWANJA WA JAMUHUR


Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri 
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao
 Afisa wa PSPF akimsajili uanachama mmoja wa wanamichezo walikuwepo katika Mashindano hayo ya SHIMIWI
 Aliyevaa Tshirt ya Blue ni Afisa Masoko wa PSS Bwana Delphin Richard akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF wakati Michezo hiyo ikiendelea
Michezo ikiwa inaendelea 
 Baadhi ya wachezaji wakiwa katika mapumziko.

No comments: