RATIBA
YA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MABUNGE YA NCHI WANACHAMA WA
JUMUIYA YA MADOLA (COMMON WEALTH PARLIAMENTARY ASSOCIATION) DR. WILLIAM
FERDINAND SHIJA
Siku na Tarehe
|
Muda
|
Tukio
|
Mhusika
|
|||
9:15
Alasiri
|
Mwili
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA kwa Emirates EK 0725
|
Kamati
|
||||
9:30
Alasiri
|
Kumpokea
mjane kutoka kwenye ndege kwenda VIP
|
Mwenyekiti
wa CPA Tanzania Branch
|
||||
Jumamosi
11 Oktoba, 2014
|
10:00
Alasiri
|
Kuutambua
mwili na kukamilisha taratibu za Uhamiaji
|
Mke
wa marehemu na Wanafamilia
|
|||
10:05
Alasiri
|
Mwili
kubebwa na kuwekwa kwenye gari
|
Waombolezaji
|
||||
10:10
Alasiri
|
Msafara
kuelekea nyumbani
|
Kamati
|
||||
11:20
Jioni
|
Ibada
ya Misa Takatifu nyumbani
|
Padre
|
||||
11:20 Jioni – na kuendelea
|
Viongozi
wa Kitaifa na waombolezaji kutoa pole
kwa familia na shughuli za maombelezo kuendelea
|
Wanafamilia
|
||||
Jumapili
12 Oktoba, 2014
|
1:00 – 2:00
Asubuhi
|
Kifungua
kinywa nyumbani kwa marehemu
|
Kamati
|
|||
3:00 – 3:30
Asubuhi
|
Waombolezaji
kuwasili Viwanja vya Karimjee
|
Kamati
na Wanafamilia
|
||||
3:30 – 4:00
Asubuhi
|
Viongozi
wa Kitaifa kuwasili Karimjee kulingana na Itifaki
|
Kamati
|
||||
4:00 – 4:15
Asubuhi
|
Mwili
wa marehemu kuwasili Viwanja vya Karimjee kwa gwaride maalum la Mpambe wa
Bunge
|
Kamati
|
||||
4:15 – 4:25
Asubuhi
|
Wasifu
wa Marehemu
|
Katibu wa Bunge
|
||||
4:25 – 4:30
|
Maelezo
ya Familia kuhusu Marehemu
|
Anna
Claire Shija
|
||||
4:30 – 4:35
Asubuhi
|
Salamu
za Rambirambi kutoka CCM
|
Mwakilishi
|
||||
4:35 – 4:45
Asubuhi
|
Salamu
za Rambirambi kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni
|
MC
|
||||
4:45: – 4:55
Asubuhi
|
Salamu
za Rambirambi – CPA Kanda ya Afrika
|
Mwakilishi
|
||||
4:55 – 5:05
Asubuhi
|
Salamu
za Rambirambi – CPA Makao Makuu
|
Mwakilishi
|
||||
5:05 – 5:15 Asubuhi
|
Salam
za Rambirambi kutoka Serikalini *
|
Mwakilishi
|
||||
5:15 – 5:25 Asubuhi
|
Salamu
za Rambirambi kutoka Bunge
|
Spika
wa Bunge
|
||||
5:25 – 5:35 Asubuhi
|
Neno
la Shukrani kutoka kwa familia
|
Familia
ya marehemu
|
||||
Jumapili
12 Oktoba, 2014
|
5:35 – 5:45 Asubuhi
|
Kutoa
utaratibu wa safari
|
Katibu
wa Bunge
|
|||
5:45 – 6:45 Mchana
|
Kutoa
heshima za mwisho
|
Kamati
|
||||
6:45 – 7:30 Mchana
|
Mwili
wa marehemu kuelekea Uwanja wa Ndege
|
Kamati
|
||||
7:30 – 8:00 Mchana
|
Taratibu
za kusafirisha mwili
|
Kamati
|
||||
10:00
Alasiri
|
Mwili
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza
|
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza / Kamati
|
||||
12:00
|
Mwili
kuwasili nyumbani kwa marehemu Sengerema.
|
Mkuu
wa Wilaya / Kamati
|
||||
*
Mtiririko huo unaweza kubadilika kutegemea na itifaki ya Mwakilishi wa
serikali.
|
||||||
Siku naTarehe
|
Muda
|
Tukio
|
Mhusika
|
|||
2:00 – 3:00
Asubuhi
|
Kifungua
kinywa
|
Wote
|
||||
3:00 – 4:00
Asubuhi
|
Ibada
nyumbani kwa marehemu
|
Askofu/Padre
|
||||
4:00 – 4:15
Asubuhi
|
Mhe.
Rais Kuwasili
|
Mkuu
wa Mkoa
|
||||
4:15 – 5:00
Asubuhi
|
Kuaga
mwili wa marehemu
|
Waombolezaji
|
||||
5:00 – 5:30
Asubuhi
|
Kuelekea
makaburini
|
Waombolezaji
|
||||
5:30 – 6:30
Mchana
|
Shughuli
za mazishi
|
Askofu/Padri
|
||||
6:30 – 7:00
Mchana
|
Mashada
|
Kamati
|
||||
7:00 – 7:05
Mchana
|
Wasifu
wa marehemu
|
Kamati
|
||||
7:05 – 7:10
Mchana
|
Salamu
za Rambirambi
|
Mkuu
wa Wilaya
|
||||
Jumatatu
13 Oktoba, 2014
|
7:10 – 7:15
Mchana
|
Salamu
za Rambirambi CCM
|
Uongozi
Mkoa/Wilaya
|
|||
7:15 – 7:20
Mchana
|
Salamu
za Rambirambi
|
Mwakilishi
CPA Kanda ya Afrika
|
||||
7:20 – 7:25
Mchana
|
Salam
za Rambirambi
|
Spika
wa Bunge
|
||||
7:25 – 7:30
Mchana
|
Salamu
za Rambirambi
|
Mhe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
||||
7:30 – 7:40
Mchana
|
Neno
la shukrani kutoka kwa familia
|
Mwakilishi
wa familia
|
||||
7:40 – 8:00
Mchana
|
Mwisho
wa shughuli za mazishi, Waombolezaji kurejea nyumbani
|
Waombolezaji
Wote
|
||||
8:00 – 9:00
Mchana
|
Chakula
|
Wote
|
||||
9:00 – 10:00
Alasiri
|
Viongozi
kuondoka
|
Kamati
|
||||
No comments:
Post a Comment