Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania.
Kutoka kulia ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu na kutoka kushoto ni
Bi. Natu Mwamba Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania wakimsikiliza kwa makini
Bw.
Phippe Dongier ambaye ni mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania,
Rwanda, Uganda na Burundi hayupo kwenye picha, alipokuwa akijibu hoja zilizowekwa
mezani. |
No comments:
Post a Comment