Rais Jakaya Kikwete
(kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga
Melu (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo.
Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa
mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi
karibuni.
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimsindikiza Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya
Barclays Africa Bi. Mizinga Melu alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es
Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Mtendaji Mkuu wa Menejiment
ya Barclays Africa, Bi Mizinga Melu (wa pili kushoto) alipokwenda
kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa
Masoko na Mawasiliano, Bi Rukia Mtingwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC,
Pius Tibazarwa. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi tendaji wa benki hiyo alichaguliwa
kushika wadhifa huo hivi karibuni.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mtendaji Mkuu wa Menejiment ya Barclays
Africa, Bi Mizinga Melu (wa pili kushoto), alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es
Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Bi. Rukia Mtingwa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Pius Tibazarwa na Meneja
Mahusiano wa benki hiyo, Bw. William Kallaghe. Bi Melu aliyekuwa mkurugenzi
mkurugenzi wa benki hiyo alichaguliwa kushika wadhifa huo hivi karibuni. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment