ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KATIKA JIMBO LAKE LA UCHAGUZI
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele baada ya
kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa
katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea silaha za jadi, upinde,
mishale na usinga kutoka kwa Machifu wa kabila la Wakonongo katika
mji wa Inyonga wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi
Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanawake wa Nsimbo
wakati alipowasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa
hadhar akiwa katika ziara ya jimbi lake la uchaguzi Januari7, 2015. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment