Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya
mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es
salaam leo April 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini
kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinton
Development Initiative (CDI) na Clinton Health Access Initiative (CHAI).
|
No comments:
Post a Comment