Tangazo

May 26, 2015

HATMA YA CCM IPO MIKONONI MWA VIJANA

  • Shirikisho lina Wajumbe 683
  • Wanachama 31000
  • Vijana wafurahi kupiga picha pamoja na Nape
 Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi kupiga picha na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

 Kila mwanafunzi alipenda apate ukumbushokwa kupiga picha na na Katibu wa NEC Npe Nnauye
 Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza meza kuu kuimba wakati wa kufungua kwa mkutano wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.

 Kikundi cha burudani kikitumbuiza.
 Wajumbe wakishangilia
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Hamis Ngomero kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wajumbe kwenye mkutano huo
 Wajumbe wakisikiliza
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.

BOFYA HAPA KUANGALIA SHAMRA SHAMRA ZA WAJUMBE

SEHEMU YA HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA 



No comments: