Tangazo

August 9, 2015

Mbaspo Academy mabingwa wa Airtel Rising Stars Mbeya

Ofisa Elimu wa Jiji la Mbeya, Protas Mpogole akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Mbaspo Academy, Biva Stiven baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini Mbeya.
Wachezaji wa timu ya Mbaspo Academy wakishangilia baada ya kuwa mabingwa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Michuano hiyo ilimalizika jijini Mbeya jana.

No comments: