Tangazo

September 16, 2015

Ijue application mpya ya kitanzania ya “PoaApp”

 “PoaApp”ni application mpya ya kitanzania itakayokujia hivi karibuni kwenye simu yako. Kama mtumiaji, utakuwa na uwezo wa kuchati na marafiki zako na ndugu, kusikiliza nyimbo uzipendazo na utaweza kupata habari za kitaifa na kimataifa; vitu hivi utavipata bure kutoka “PoaApp”.

Kwa habari zaidi kutoka “PoaApp’’ tafadhali fuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama;
·       Facebook.com/PoaApp
·       Twitter:@PoaApp
·       Instagram:@PoaApp

Pia waweza kutembelea website yetu ya www.poaapp.co.tz ili uweze kujiandikisha punde “PoaApp” ikiwa tayari tutakutumia link ya ku download.

“kuwa mzalendo, penda vya nyumbani”

No comments: