Afisa
Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kushoto) akikabidhi shillingi millioni tatu kwa mshindi wa droo ya sita ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”,
Rajabu Mwalapinga (kulia), mkazi wa Dar es Salaam.
XXXXXXXXXXXXXXXXXX
Hivyo
aliwahimiza watanzania kuchukua fursa hii waliopatiwa na Airtel kujiinua kiuchumi Hadi sasa, promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” ya Airtel imewafanya watanzania 16 mamilionea. Mamilionea zaidi wanategemewa kutokea katika promosheni
hii iliyoanzishwa wiki saba zilizopita.
Vile
vile Airtel imewazawadia fedha taslimu washidi wa droo ya saba, ambao ni,
Geri William kutoka Dar es Salaam na Lui Saulo Karunda, mkazi wa Kigoma.
Wateja wanaweza kujinga na promosheni hii bure kwa kutuma ujumbe wenye neno "BURE" kwenda namba 15470, na kisha kuanza kupokea maswali kwenye simu zao na kujibu maswali bure bila gharama yoyote na kujikusanyia pointi.
Mteja
atakapomaliza kujibu maswali ya bure atapata ujumbe utakaomuuliza kama angependa kujiunga na ngazi ya premier, ili
kuwezeshwa kufunguliwa maswali zaidi na kujikusanyia pointi nyingi kwa zawadi zenye thamani kubwa.
kuwezeshwa kufunguliwa maswali zaidi na kujikusanyia pointi nyingi kwa zawadi zenye thamani kubwa.
No comments:
Post a Comment