MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam
ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John
Pombe Joseph Magufuli. PICHA: ISSA MICHUZI WA IKULU
No comments:
Post a Comment