Tangazo

October 20, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KITABU KINACHOELEZEA MAHUSIANA NA URAFIKI KATI YA TANZANIA NA USWISI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi  wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake,Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi  wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely pamoja na Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli (kushoto) muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake, kushoto ni Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli,Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Balozi  wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely , Balozi wa Uswis katika Afrika Mashariki Mhe. Arthur Mattli (kushoto) pamoja na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Bi. Romana Tedeschi na Maafisa wengine muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu kiitwacho A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akipokea kitabu cha A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake kutoka kwa  Balozi  wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely muda mfupi kabla ya kuzindua kitabu hicho, Ikulu jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akifunua ukurasa wa kitabu cha A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake kama ishara ya kukizindua kitabu hicho mbele ya Balozi  wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Florence Tinguely , Ikulu jijini Dar es Salaam.


Mwaka huu Swaziland na Tanzania inatimiza miaka 50 ya mahusiano ya kidiplomasia baina baina ya nchi hizi mbili.  Katika kuadhimisha shughuli hii,  Ubalozi wa Swaziland umezindua kitabu kinaitwa A-Concise Study of Contemporary Art kinachoelezea mahusiano na urafiki uliodumu baina ya nchi hizi mbili na watu wake.  Kitabu hiki kimezinduliwa rasmi na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.
 

No comments: