Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza katika Semina ya kuimarisha uelewa wa Itikadi ya CCM, kwa viongozi wa Idara ya Umoja wa Vijana wa CCM ya Vijana wa CCM wa Vyuo na Vyuo Vikuu, mkoa wa Dar es Salaam, katika Ukumbi wa Iddi Nyundo, Temeke, jana.
Mwenyekiti wa Idara ya UVCCM ya Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu mkoa wa Dar es Salaam Asha Feruzi akitoa maneno ya utangulizi mwanzoni mwa semina hiyo. Kushoto ni Katibu wa Hamasa wa Idara hiyo mkoa wa Dar es Salaam, Juakali Kuwanya, Kaimu Katibu wa Idara hiyo Taifa Daniel Zenda, Katibu Tawala wa Temeke Hashim Komba na Katibu wa Idara hiyo mkoa wa Dar es Salaam Erick Kibada.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Temeke Hashim Komba akiwapiga msasa vijana katika semina hiyo, Kushoto ni Mwenyekiti wa Idara ya UVCCM ya Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Asha Feruzi na Kaimu Katibu wa Idara hiyo Taifa, Daniel Zenda.
Katimu Katibu wa Idara ya UVCCM ya vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu, Daniel Zenda akizungumza wakati wa semina hiyo.
Washiriki wa Semina wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi

Mmoja wa washiriki wa semina hiyo akijaribu kueleza maana ya CCM Mpya, Baada ya kutakiwa kueleza anavyouelewa mssem huo.
Washiriki wa Semina wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi
Washiriki wa Semina wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi
Washiriki wa Semina wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi
Kaimu Katibu wa Idara ya UVCCM ya Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu Daniel Zenda akitoa mada wakati wa semina hiyo
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Temeke Fadhili Famonga baada ya kuwasili ukumbini. Kulia ni Daniel Zenda
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akishiriki na viongozi wa meza kuu kuimba wimbo wa hamasa baada ya kuingia ukumbini
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akishiriki na viongozi wa meza kuu kuimba wimbo wa hamasa baada ya kuingia ukumbini
Vijana wakiwa wamesimama ukumbini kumlaki Polepole
Vijana wakiwa wamesimama ukumbini kumlaki Polepole
Juakali akihmasisha kuchangamsha ukumbi8 baada ya Polepole kuketi
Erick Kibada akisalimia
Mwenyekiti wa Idara ya UVCCM ya Vijana wa Vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Dar es Salaam, Asha Feruzi akimkaribisha polepole kujumuika katika semina hiyo
Mwenyekiti wa UVCCM Temeke akisalimia
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu ya UVCCM Daniel Zenda akisalimia baada ya Polepole kuketi
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenzi Humphrey Poloepole akizungumza katika Semina ya kuimarisha uelewa wa Itikadi ya CCM, kwa viongozi wa Idara ya Umoja wa Vijana wa CCM ya Vijana wa CCM wa Vyuo na Vyuo Vikuu, mkoa wa Dar es Salaam
"Kada siyo yeyote ni mtu mwenye dhamana fulani ndani ya Chama...Kwa hiyo ninyi ni Makada kwa sababu mmebeba jukumu la uongozi katika ngazi mbalimbali kwa ajili ya kukisidia Chama kusonga mbele na kueleweka malengo yake ndani ya umma", alisema Polepole wakati akiwapiga msasa washiriki kwenye semina hiyo
Washiriki wakimsikiliza kwa makini Polepole
Washiriki wakiwa kwenye semina hiyo
Wenyeviti wa Seneti wakiwa katika picha ya Pamoja na Polepole na viongozi waandamizi wa Idara hiyo ya Vyuo na Vyuo Vikuu
Makatibu wa Seneti wakiwa katika picha ya Pamoja na Polepole na viongozi waandamizi wa Idara hiyo ya Vyuo na Vyuo Vikuu
Viongozi wa hamasa wa Seneti wakiwa katika picha ya Pamoja na Polepole na viongozi waandamizi wa Idara hiyo ya Vyuo na Vyuo Vikuu
Viongozi mbalimbali wakiwa katika Picha ya pamoja na Polepole
Viongozi mbalimbali wakiwa katika Picha ya pamoja na Polepole
Picha ya wote
Polepole akiagana na Mwenyekiti wa Seneti Dar
Polepole akiagana na Mwenyekiti wa UVCCM Temeke. Kulia ni Zenda
Kisha kila mshiriki wa semina hiyo akachangamkia kupiga 'selfie' na Polepole dakika za mwisho kabla hajaondoka. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment