Tangazo

July 29, 2011

HOFU YATANDA KWA WAZAZI WA WATOTO WA DARASA LA SABA IRINGA

Wanafunzi wa kike katika shule ya msingi Manda wilaya ya Ludewa ambao wanasubiri kufanya mtihani wa Taifa wa Darasa la saba wakitoka kuokota kuni porini mida ya masomo baada ya kufukuzwa kwa kushindwa kulipa mchango wa  600/-  ili wapate kufanya mitihani ya kujipima ya Kata mzigo wa kuni kama huu wamekuwa wakiuuza kwa kiasi cha 100/- kwa walimu wao.http://www.sufianimafoto.blogspot.com/

No comments: