Tangazo

August 25, 2011

Mafunzo ya Kijeshi

Mgambo wakiwa katika zoezi la kumnyang'anya silaha adui ikiwa sehemu ya mafunzo ya mapambano ya kivita wakati wa kozi ya Mgambo wa wilaya ya Kinondoni iliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na Yusuf Mwanga wa Daily Mitikasi blog

No comments: