Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana Agosti 09.2011. Mh. Kabwe alikuwa akifafanua kuhusu Kamati yake kumuandikia barua Spika wa Bunge, Anne Makinda ikimuomba aridhie mapendekezo ya wabunge watakaounda kamati ya Bunge chini ya Kamati yake ili ichunguze sakata zima la uuzwaji wa shirika la UDA. |
No comments:
Post a Comment