Tangazo

September 13, 2011

ABIRIA WANNE WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE ILIYOTOKEA MBEYA LEO ASUBUHI

Ajali ya Ndege namba  9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi Majira ya Saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya  na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.

Abiria walionusurika kifo ni pamoja JVER WAAK (49) ambaye alikuwa Rubani,  Raia wa Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI (30), ambaye ni Afisa Utawala wa Mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED RAMIA (64), Mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam ambaye ni Mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY TAYIR (50) ambaye ni Mfanyakazi wa EXPORT TRADING.
Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.
Imetolewa na:
 Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Anaclet Malimbisa. 

Habari kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

No comments: