Tangazo

September 10, 2011

Mkapa akutana na Wazee Igunga

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akizungumza wakati wa mkutano wa viongozi wa ngazi mbalimbali  katika Kata za jimbo la Igunga, jana. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma na (katikati) ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora.

Sehemu ya Viongozi mbalimbali wakimsikiliza.

No comments: