| Waandishi kwa ulabuuuu.....meno yote njee |
| Kundi lililoshinda kujibu maswali likiwa katika picha ya pamoja na zawadi zao za ulabu the Kilimanjaro Premium Lager. |
| Maofisa kutoka Kampuni ya Executive Solutions Ltd waratibu wa semina hiyo, Mike Mukunza (kushoto) na Tamika Chikawe-Zaun wakiwa wenye furaha baada ya mambo kwenda kama walivyoyapanga. |
| Mwanahabari Mwani akichangia jambo. |
| Sehemu ya waandishi wa habari walioshiriki katika semina hiyo. |
No comments:
Post a Comment