| Wasanii wakionyesha umahiriwao wa kucheza ngoma za asili. |
| Wasanii wa Kikundi cha Orijino Komedi kikionyesha zoezi la kunawa mikono wakati wa maadhimisho hayo. |
| Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha watoto mfano wa jinsi ya kunawa mikono kwa sabuni wakati wa maadhimisho hayo. |
| Watu wakinawa mikono ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku hiyo. |
| Burudani. |
No comments:
Post a Comment