Tangazo

November 4, 2011

TAMASHA KUBWA LA EPIQ NATION KUFANYIKA CCM-KIRUMBA JIJINI MWANZA KESHO

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Brian Karokola  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu Tamasha Kubwa la  Epiq Nation litakalofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika Jiji la Mwanza kesho Jumamosi. Kulia ni Meneja wa Chapa ya Epiq Nation, Deo Ringia na (katikati) ni Msanii Nyota wa Bongofleva, Bob Junior 'Rais wa Masharobaro' ambaye ataungana na wasanii wengine, Farid Kubanda 'Fid Q',  Ibrahim Mussa 'Roma'  na Suma Lee kutumbuiza katika tamasha hilo.

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Brian Karokola  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu Tamasha Kubwa la  Epiq Nation litakalofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika Jiji la Mwanza kesho Jumamosi. Kushoto ni Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Ibrahim Mussa 'R.O.M.A'  na (kulia) Mkali wa Miondoko ya Bongofleva, Bob Junior 'Rais wa Masharobaro' ambao wataungana na wasanii wengine Fid Q na Suma Lee kutumbuiza katika tamasha hilo.

Msanii Nyota wa Bongofleva, Bob Junior 'Rais wa Masharobaro'  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu ushiriki wake kwenye Tamasha Kubwa la  Epiq Nation litakalofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba katika Jiji la Mwanza kesho Jumamosi. Wasanii wengine watakaoshiriki katika tamasha hilo ni pamoja na Farid Kubanda 'Fid Q',  Ibrahim Mussa 'Roma'  na Suma Lee.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Zantel, Brian Karokola na (kulia) ni Meneja wa Chapa ya Epiq Nation, Deo Ringia.Picha na Daily Mitikasi Blog

No comments: