Tangazo

December 12, 2011

NJEMBA LAMWAGA RADHI HADHARANI, LAWADUWAZA WATU...

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kamera ya Daily Mitikasi Blogu iliweza kulinasa Njemba hili (katikati) likiwa limevaa mithili ya Mwanamke likisasambua katika moja ya Promosheni ya Kilevi cha Bia ya Kilimanjaro huko katika Eneo la Msasani jijini Dar es Salaam Desemba 11.2011. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG

Ghafla lilianza kusasambua huku likiwa limevalia viatu vya kike, heleni masikioni na 'Kikuku' kiunoni hali iliyopelekea umati wa waliokuwa wakishuhudia kulaani kitendo kile kwani kilikuwa kinawadhalilisha wanaume. Blogu hii pia inaungana na kulaani vitendo vinavyofanywa na baadhi ya vijana wa kiume waliopoteza mwelekeo na kujiingiza katika vitendo vya uu...#$*@X%###X...ga.

1 comment:

Anonymous said...

Badi hii club gani?Uncle sam