NDUGU WAPENDWA
KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:-
UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM, RAMBO, PLASTIC) BARABARANI .
KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:-
UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM, RAMBO, PLASTIC) BARABARANI .
UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA KIBAO KILICHOPIGILIWA MISUMARI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA WEWE.
UKISHUKA GARINI KUANGALIA KULIKONI, WIMBI LA VIBAKA LINAKUVAMIA NA HAKUNA UTAKACHOBAKIA NACHO ZAIDI YA KOPO LA GARI MAANA LITAKUWA HALINA UPEPO BAADHI YA MAGURUDUMU KUNG'OLEWA.VIBAO NI VINGI KWA UMBALI MFUPI MFUPI.
HII IMETOKEA JANA TABATA KISUKURU MAENEO YA MAKOKA MIDA YA SAA TATU USIKU. WATAKUPIGA KIASI GANI HIYO INATEGEMEA KIWANGO CHA BANGI WALICHOVUTA NA UNAJEURI KIASI GANI.
TAHADHARI.
USIKANYAGE MFUKO WA NYLON ( KWEPA). UKIKANYAGA BAHATI MBAYA JIANDAE VYEMA KABLA YA KUSHUKA GARINI AU TEMBEA NA PUNCHER UMBALI KIDOGO.
MTAARIFU NA MWENZAKO
TAHADHARI.
USIKANYAGE MFUKO WA NYLON ( KWEPA). UKIKANYAGA BAHATI MBAYA JIANDAE VYEMA KABLA YA KUSHUKA GARINI AU TEMBEA NA PUNCHER UMBALI KIDOGO.
MTAARIFU NA MWENZAKO
REGARDS
No comments:
Post a Comment