Tangazo

January 29, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA KONGAMANO LA UCHUMI DUNIANI MJINI DAVOS

Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Bw. Kevin Rudd wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland .

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Walmart Bw Doug Mc Millon wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Madame Sadako Ogata, Rais wa Japan International Cooperative Agency mjini Davos.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Kenya Mh Raila Odinga baada ya kufanya naye mazungumzo mjini Davos.


Rais Jakay Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron mjini Davos, Uswisi. PICHA NA IKULU

1 comment:

Vimax Pills said...

nice blog information