Tangazo

February 14, 2012

NBC YANUNUA HISA ASILIMIA 10.87 KWENYE KAMPUNI YA TMRC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi bilioni moja kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC), Rished Bade katika hafla iliyofanyika kwenye makao makuu ya benki hiyo Februari 14.2012.

 “Tunaamini kuwa fedha hizi zitaisaidia TMRC katika juhudi zake za kuwawezesha Watanzania wapate kumiliki makazi bora. Kitendo hiki kinaonyesha dhamira ya NBC katika kusaidia sekta ya mikopo ya nyumba Tanzania ” alisema Mafuru.

No comments: