![]() |
| Wananchi wakimbeba kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo) |
![]() |
| Sioi akiomba kura kwa wananchi wa Makiba. Kushoto ni Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka na kulia Mratibu wa kampeni za CM jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu Nchemba. |
![]() |
| Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Jma akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba. |
![]() |
| Mbunge wa Mtera, Mjumbea wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba. |
![]() |
| Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu Jenerali Mirisho Sarakikya akizungumza kwa niaba ya wazee katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Makiba. |
![]() |
| Hafsa Kazinja wa TOT akikamua Uwanja wa mpira wa Makiba |
![]() |
| Shabiki wa CCM wa Kata ya Makiba akishangilia mkutanoni. |
![]() |
| Maelfu ya watu mkutano wa kampeni za CCM Makiba. |
![]() |
| Nchemba akihutubia Makiba. |









No comments:
Post a Comment