![]() |
Vijana wa Sura wakizuia mafara wa mgombea wa CCM Sioi Sumari ili kumsalimia wakati msafara huo ukipita eneo lao kwenda kwenye mkuano wa kampeni. |
![]() |
Mfugaji katika kata ya Songoro ambaye jina halikupatikana mara moja akishangilia CCM wakati msafara wa mgombea wa chama hicho Sioi Sumari ulipopita katika kata hiyo. |
![]() |
Kina mama wakimbeba Sioi baada ya kuhutubia mkutano wa kapeni kijiji cha Mulala kata ya Songoro jimbo la Arumeru Mashariki. |
![]() |
Vijana wakiwa wamepanda mti kumuona mgombea wa CCM Sioikatika mkutano uliofanyika kata ya Songoro. |
![]() |
Mjumbe wa NEC Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma akihutubia mkutano wa kampeni kijiji cha Sura. |
![]() |
Wazee wa Songoro wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgomea wa CCM. |
![]() |
Sioi akihutubia mkutano wa kampeni kijiji cha Sura kata ya Songoro jimbo la Arumeru Mashariki. |
![]() |
Wananchi wa kijiji cha Sura wakishangilia bada ya kukunwa na hotuba ya mgombea wa CCM. |
No comments:
Post a Comment